Saturday, 26 November 2016

Baada ya kurudi nyumbani

hizi ndiyo pilikapilika za sherehe

Mathew akiwa katika picha pamoja na wakuu wa shule

Mathew akimlisha keki mama yake mzazi ikiwa ni shukurani kwa wazazi wake,kwa kumlea vizuri

Kijana Mathew akipokea cheti chake baada ya kumaliza Elimu ya awali katika shule ya St Columbas

Wazazi wengi ufurahia wanapoona watoto wao wakitoka hatua moja kwenda nyingine, kama anavyoonekana mama wa Mathew,akitabasam kwa furaha baada ya mtoto wake kumaliza Elimu ya Awali.

kijana Mathew akirekrbisha saa yake ili aendane na muda

Mathew akiwa na dada yake, nyumbani kwao sinza kabla ya kuondoka kuelekea katika sherehe yake ya Graduation