Uncleommy2016.blogspot.com
Sunday, 27 November 2016
LIFE STORY
Hizi ndiyo fulsa za kilimo cha Nyanya na Vitunguu kama inavyoonekana kwa akina mama hawa wa kijiji cha Goma Mikumi mkoani Morogoro,soko lao kuu ni wasafiri wapitao hapo
Hii ndiyo Mbuga ya mikumi.watanzania tupewe nini Wanyama kama hawa unawaona bure bila malipo yoyote, upitapo tu katika barabara kuu iliyokatiza katikati ya mbuga hii ya Mikumi, wageni njooni mujionee wenyewe
Saturday, 26 November 2016
Baada ya kurudi nyumbani
hizi ndiyo pilikapilika za sherehe
Mathew akiwa katika picha pamoja na wakuu wa shule
Mathew akimlisha keki mama yake mzazi ikiwa ni shukurani kwa wazazi wake,kwa kumlea vizuri
Kijana Mathew akipokea cheti chake baada ya kumaliza Elimu ya awali katika shule ya St Columbas
Wazazi wengi ufurahia wanapoona watoto wao wakitoka hatua moja kwenda nyingine, kama anavyoonekana mama wa Mathew,akitabasam kwa furaha baada ya mtoto wake kumaliza Elimu ya Awali.
kijana Mathew akirekrbisha saa yake ili aendane na muda
Mathew akiwa na dada yake, nyumbani kwao sinza kabla ya kuondoka kuelekea katika sherehe yake ya Graduation
Thursday, 17 November 2016
Mhe.Gerson Lwenge, waziri wa maji na umwagiliaji, alipofika mafinga kushiriki mazishi ya marehem Josef Mungai
Wednesday, 16 November 2016
Wajukuu wa marehem Josef Mungai wakiongozwa Makayla Jemsi Mungai,kushoto wakiweka Ua lao lenye neno BABU
Muheshimiwa Msigwa mbunge Iringa mjini na muheshimiwa Tundulisu, wote kwa pamoja wakiweka shada la maua juu ya kaburi la marehem Josef Mungai
Kutokana na kufurika watu wengi katika mazishi ya Josef Mungai, wengine walithubutu hata kupanda juu ya miti ili waweze kuona
Wazee wa chama na viongozi wa dini wakishuudia mazishi ya marehem Mungai.Huko mafinga Iringa
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)