Wednesday, 22 November 2017

Hawa ndiyo wapigapicha wa harusi na kipa Imara enzi hizo jijini Dar. picha na uncleommy
SIKU AMBAYO NDUGU EPHRAIM KIBONDE HATOISAHAU NI SIKU ALIYOFUNGA NDOA. HAPA AKIWA ANAMLISHA KEKI MKEWAKE KATIKA UKUMBI WA MSASANI BEACH CLUB,JIJINI DSM MIAKA ILIYOPITA . picha na uncleommy mkali